VIJANA wawili waliokuwa katika pikipiki aina ya Boxer wamenusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kali eneo la Kijitonyama baada ya kumpora dada mmoja mkoba. Vibaka hao walifanikiwa kumpora dada huyo aliyekuwa akitembea kwa miguu akitokea Benki ya Access katika maeneo ya showroom ya Akachube iliyopo Kijitonyama jijini Dar. Wakati wa uporaji huo, alikuwepo msamaria mmoja
Tags
News