Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Ticker

6/recent/ticker-posts

Hiki ndicho alichokiandika Diamond kuhusu wema wakati wa kumkaribisha marombosso wcb

humph the GREAT
  Jumapili ya tareh 28 kulikuwa na event kutoka wcb, event ambayo ilikuwa ni ya kumtambulisha maromboso rasmi kuwa ni msanii was wcb ambaye kazi zake zote zitasimamiwa na lebel hiyo ambayo IPO chini ya diamond platnumz na inaendelea kufanya vizuri sana ikiwa na wasimamizi mahili bwana babutale, salam so, mkubwa fela na wengine kibao... Katika shughuli hiyo wasanii wengi sana walialikwa wakiwemo was ndani na nije ya nchi lakini pia alikuwepo wema sepetu,  na baada ya kumalizika kwa shughuli hiyo diamond alichukua clip ndogo ya wema sepetu na kuipost huku akiandika ujume mkali kwa mashabiki na wengine wanaomzunguka. 




Post a Comment

0 Comments