Hatimaye Diamond Avunja Ukimya mimba ya Tunda

humph the GREAT
Diamond Azungumzia Ukweli Kuhusu Mimba ya Tunda

Diamond Platnumz Azungumzia Ukweli Kuhusu Mimba ya Mrembo Tunda...Afunguka Ukweli Wote

HATIMAYE msanii kutoka industry ya Bongo Fleva, Diamond Platinumz ameamua kuanika kuhusu tetesi za kumapachika uzauzito Video Vixen wa Bongo, Tunda.

Akifanya mahojiano maalum  Diamond amekanusha kumpachika mimba staa huyo na kudai kuwa hajawahi hata kutebea naye wala kuwa na mahusiano naye.

“Sio kila mwanamke mzuri ninatembea nae mimi tu, sijawahi kuwa na mahusiano na Tunda,” alisema Diamond

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post