Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Ticker

6/recent/ticker-posts

je wajua? hakuna makabila yenye wanawake wazuri kama haya...

humph the GREAT

kila kabira lina sifa zake ambazo ni unique, yaani huwezi kuzikuta tabia hizo kwenye kabila jingine na kama utazikuta basi ni kwa kiasi kidogo sana…, hizo ni tabia tuu lakini pia kuna baadhi ya sifa ambazo kuna baadhi ya makabila wamejaaliwa unaweza kusema wachaga wamejaaliwa kuwa na pesa na akili pia ya utafutaje, lakini wahaya wamejaaliwa kuwa na akili ya darasani na ya kujiongeza sana, wasukuma na wabena wamejaaliwa moyo wa kufanya kazi.. 

   lakini ukiacha na sifa hizo na nyingine nyingi sifa ya urembo ni baadhi ya makabila machache tu ambayo yamejaaliwa kuwa na wanawake warembo Zaidi kuliko wanawake wa kutoka makabila mendine ambayo badhi nimeyataja hapo juu.. hebu tuone baadhi ya makabila kumi tuu ambayo yana wanawake wazri Zaidi Tanzania..

1. Wahiraki, hawa ni wanawake wa jamii ya Wahiraki wa napatikana kaskazini mwa Tanzania wamezagaa mikoa ya manyara ni weupe Wana Umbo zuri wanavutia kwa Macho.

2. Warangi, hawa ni wanawake jamii ya Warangi ni wazuri nywele zao ni asili ya waraabu weupe sura nzuri wanapatikana kondoa

3. Wanyiramba. Hawa ni warembo Sana sura matata wanapatikana mkoa wa singida kaskazini, usipokua makini utawafananisha na wanyaturu

4. wamasai, kabila hili wanawake wazuri sio wengi Sana lakini ukikutana na sampuli Tatu au nne hivi utauza hata boxa kuongezea mahari wamezagaa Sana Arusha

5. Wahaya, hawa nao ni jamii ya Kanda ya ziwa maumbile Yao Kuna weupe miguu Yao ya bia shape matata wamejaa Sana bukoba.

6. wanyaturu, hawa wanafanana na Wanyiramba wanapatikana singida hasa ikungi na manyoni weupe wanavutia

7. Wapare, hii ni jamii ya kabila la Wapare wanapatikana moshi wilaya ya same wako vizuri usicheze kabisa na hili kabila shape nzuri.

8 .wamakonde, hawa wanapatikana kusini mwa Tanzania ni kabila lenye wanawake wazuri Sana hususani maumbo Yao na shape za kuvutia

9. Wasambaa, Kwanza weupe wanawake kitanga wamezagaa Sana tanga mjini

10. wanyakyusa moja kwa moja twende mbeya hawa wanawake wengi wao ni weusi lakini sura zao nzuri Sana black beauty

Post a Comment

0 Comments