MUONEKANO WA USAFIRI WA MAJINI KWENYE ZIWA TANGANYIKA MKOANI KIGOMA



  Baadhi ya abiria kutoka sehemu mbalimbali wakipanda Ngalawa kwenye ufukwe wa ziwa Tanganyika, sehemu ijulikanayo kwa jina la Kibirizi kuelekea upande wa pili wa fukwe ya ziwa hilo pajulikanapo kwa jiina la Kagunga, ambapo abiria hulipa nauli ya shilingi Elfu tano kwa kila kichwa, na huchukua masaa manne kufika kwenye ufukwe huo, ambako ni mpakani jirani na nchi ya Burundi.

Abiria wakifunikwa turubai wasilowane na mvua, wakati ilipoanza kunyesha mjini hapa.

 Baadhi ya abiria kutoka sehemu mbalimbali wakipanda Ngalawa kwenye ufukwe wa ziwa Tanganyika, sehemu ijulikanayo kwa jina la Kibirizi kuelekea upande wa pili wa fukwe ya ziwa hilo pajulikanapo kwa jiina la Mwagongo mapema jana mchana mkoani Kigoma.

 Sehemu ya Ziwa Tanganyika kama inavyoonekana kwa mbaali mapema jana jioni mkoani Kigoma.

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post