
Huyu ni queen video maarufu sana hapa Bongo na amekuwa akihusishwa naskendo mabalimbali. zikizidi kumpa umaarufu wa kutisha. Hivi karibuni Agness masognge amesepa zake kwena South akiwaacha watu midomo wazi nini tena kinachompeleka huko na wakati alishakamatwa na Madawa.. katika chunguzi zetu tumegundua nyuma ya pazia kuna Jamaa huyu ambaye ndiye anayemfanya Masogange aishi mjini....

Tags
Udaku