Rais Jakaya Kikwete na rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein jana wamewaongoza mamia ya wananchi katika dua maalum ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi marehemu Abeid Amani Karume. Karume aliuawa April 7 mwaka 1972 akiwa katika jengo lililokuwa Makao Makuu ya Chama cha Afro Shirazi huko Kisiwandui mjini
Tags
Tanzania