AUNTY LULU: NITAFANYA DHAMBI ZOTE SI USAGAJI


Stori: Gladness Mallya
MSANII wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amefunguka kuwa yupo tayari kutenda dhambi zote lakini si ya usagaji.
MSANII wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’.
Akistorisha na Bongowood hivi karibuni, Aunty Lulu alisema usagaji umekithiri kwa mastaa wa kike Bongo na ameshuhudia baadhi yao (hakuwataja majina) wakiwadekea wanawake wenzao ‘kimalovee’.
“Hii ni aibu kwa mastaa wa kike, mimi nilishafuatwa na wengi sana wakinitaka nikafanye uchafu huo lakini nilikataa, dhambi za aina nyingine nitafanya lakini siyo hii ya usagaji,” alisema Aunty Lulu.

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post