KAMERA YA GLOBAL PUBLISHERS ILIVYOMULIKA MAENEO YA VIUNGA VYA DAR
habayloveHabay all info-
0
Hiki ni kisima kinachotumiwa na wakazi wa Yombo-Dovya karibu na mto Muki.Hapa ni eneo la Tanesco kitongoji cha Tandale.Biashara inaendelea ‘mtindo mmoja’ licha ya mazingira mabaya.Abiria wakisubiri usafiri eneo la Posta.Purukushani za kugombea usafiri eneo la Posta.Maji yalivyojaa eneo la kupaki daladala za Temeke-Posta.Eneo la maegesho ya daladala huko Tandika.Fundi akitengeneza eneo la watembea kwa miguu Posta Mpya.Hali halisi ya maisha ya Kitanzania ambayo ni shule na kazi.Hii ni teknolojia ya kitundu kama ilivyonaswa na kamera yetu huko Tandale.Moja ya njia za kuingia Yombo-Dovya kwa watu wanaotokea Tandika.Mandhari ya nyumba za Yombo-Dovya ilivyo kutoka eneo jirani la juu.Mapipa kibao yakisubiri wateja katika eneo la mpaka wa vitongoji vya Tandika na Temeke.Eneo linalolimwa mboga katika bonde la Tandika.Vijana wakibarizi eneo la Temeke.Kilimo cha mboga kando ya mto Muki huko Yombo.Madimbwi bado ni tatizo katika maeneo ya jiji kufuatia mvua inayoendelea kunyesha.Matofali yanayojengewa eneo la watembea kwa miguu katika Barabara ya Morogoro kwa ajili ya mabasi yaendayo kasi.Watoto wakitega samaki katika mto Muki.Ujenzi unaendela maeneo ya Posta Mpya katika barabara ya mabasi yaendayo kasi.Vijana wakipiga soga kando ya mto Muki.Watoto wakitafuta minyoo kwa ajili ya kutegea samaki.