Kamera yetu ilishuhudia tukio la basi la Uda maeneo ya Manzese likiwatoza abiria nauli ya shilingi elfu moja kama malipo ya kwenda Mbezi , Mwisho wakati nauli halisi ya kwenda huko ni shilingi 500/= kutokea Manzese. Alipoulizwa kondakta wa basi hilo sababu za kuwatoza hivyo hakuwa na majibu sahihi zaidi ya kujiumauma tu na kuamuru dereva aondoe gari eneo hilo.
Tags
Udaku