Biashara inaendelea licha ya kuwepo dimbwi lenye maji taka katika moja ya mitaa ya Msasani.
Eneo hili limegeuka dampo kwa wakazi wa bonde la mpunga Msasani.
Moja ya miitaro michafu Msasani.
Mabati hayo katikati yamezunguka kitu kinachoitwa choo!
Eneo lililojaa uchafu ambao haujatolewa kwa siku nyingi!
Maji machafu yaliyotuama.
Mazingira haya ni hatarishi sana kwa afya.
Mtaro wa maji machafu ukipita katikati ya nyumba.
Mtoto akivuka daraja eneo la maji machafu.
Mwanafunzi akipita juu ya ukuta kwenda kwao. Eneo lote limejaa maji machafu.
Kila mahali mazingira ni ya maji machafu.
Moja ya nyumba zilizo katika mazingira machafu ya Msasani.
Picha inajieleza hali halisi ya miundo mbinu yetu mibovu na mazingira machafu.
Inaonekana mazingira machafu kwa watoto hawa ni jambo la kawaida.