RAY C HOI KITANDANI, ADAIWA KUUGUA UGONJWA MPYA

Nimepata Habari kuwa Mwanamuziki Ray C yupo hoi Kitandani Akiugua Ugonjwa Mpya Unaojulikana kama Homa ya Denge...Inasemekana Baada ya kutoa tuzo ya Kill  Siku ya Jumamosi Kesho yake alianza kuumwa Kichwa na Baadae alipelekwa Hospitalini Mwananyamala Akidhani ana Malaria, Alipopimwa ikagundulika unaumwa huo ugonjwa wa Denge......Ugonjwa huo inasemekana unaambikizwa kwa kung'atwa na Mbu

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post