Suge Knight aliyekuwa bosi wa Tupac, ambaye alikuwa na Tupac katika siku ambayo mauti yalimkuta akiwa ameketi katika kiti cha dereva mnamo september 1996.
"Amesema kwanini watu hajakamatwa kama kweli Tupac aliuawa? " Kwasababu Tupac hakufa ndio maana hawajakamatwa.
Alisema haya katika mahojiano yake na TMZ nakuongeza kuwa jamaa yupo kwenye visiwa huko anavuta zake Cuban Cigar
Takribani miongo miwili imepita bila kesi hiyo kupatiwa ufumbuzi. Suge Knight amekuwa akihisiwa kuhusika na tukio hilo la mauaji na amekuwa akikanusha mara kwa mara.
Tags
News