UCHAFU BARABARANI


Taswira mbalimbali zikionyesha baadhi ya takataka zikiwa pembezoni mwa barabara ya Shekilango, maeneo ya Sinza, jijini Dar es Salaam.
KATIKA hali isiyo ya kawaida kamera jana jioni ilinasa takataka ambazo zimeonekana kutupwa ama kutelekezwa kwa makusudi katika mifereji ya maji pembezoni ya barabara ya Shekilango maeneo ya Sinza jijini Dar es Salaam huku mamlaka husika zikilifumbia macho suala hilo ambalo kila siku linazidi kukua.

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post