

"Kwasababu Nampenda Mpenzi Wangu Shilole Nimeamua Kujichora Tattoo ya Jina Lake 'Shishibaby' Kwenye Mkono wangu, wakati nachorwa iliuma sana kuliko tattoo yangu ya Kwanza na hii Tatoo Haita Futika Milele na Milele" Nuhu Mziwanda aliandika maneno hayo
Naye Shilole Alipost Picha hiyo ya Tatto na Kusema "Thanks My Love for This Umeonyesha Love ya Ukweli"
Je wewe Unaona ni Sahihi Kujichora Tattoo ya Jina la Mpenzi wako ambae hata bado hamjui kama mtaoana ? Na je Mkiachana itakuwaje?
Tags
Udaku