Maneno ya Magufuli kwa Wlemavu

humph the GREAT

Rais Magufuli aahidi kumnunulia mlemavu baskeli


Rais Magufu amehidi kuwa atamnunulia mlemavu huyu baiskeli ya magurudumu matatuImage copyrightTBC
Image captionRais Magufu amehidi kuwa atamnunulia mlemavu huyu baiskeli ya magurudumu matatu
Rais wa Tanzania John Magufuli ameahidi kuwa atamnunulia baiskeli ya magurudumu matatu, mwanamme mmoja mwenye ulemavu, baada ya kumuona wakati wa matangazo ya habari akitumia kwa umahiri mkubwa baiskeli ya kawaida.
Katika taarifa iliyosomwa wakati wa matangazo ya habari, Rais Magufuli alisema kuwa atatumia pesa kutoka kwa mshahara wake mwenyewe kununua baiskeli hiyo na kumkabidhi mwanamme huyo baada ya juma moja.

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post