Matokeo rasmi ya uchaguzi Zambia yatangazwa

humph the GREAT
Matokeo rasmi ya uchaguzi Zambia yatangazwa    Leo August 15 2016 Tume ya uchaguzi nchini Zambia imemtangaza aliyekuwa rais wa Zambia, Edgar Lungu  kuwa mshindi wa nafasi ya urais kwa tiketi ya chama cha Patriotic Front kwa awamu ya pili. Lungu alijipatia asilimia 50.35 ambazo ni kura 1, 860, 877 na Kumshinda mpinzani wake Hakande Hichilema wa chama cha United Party  for National Development ambaye amepata asilimia 47.67  ambazo ni kura 1, 760, 347  […]

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post