humph the GREAT
Staa wa Nigeria, Wizkid.
Staa wa Nigeria, Ayodeji Ibrahim Balogun ‘Wizkid’ amethibitishwa na Clouds Media Group kupitia akaunti yao ya twitter kuwa atatumbuiza kwenye show ya Fiesta, Mwanza mwishoni mwa wiki hii. Itakuwa mara ya pili muimbaji huyo kuja Tanzania mwaka jana alitumbuiza kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
Tags
Burudani
