PENZI LA SHEMEJI SNURA 01

humph the GREAT
JINA:        PENZI LA SHEMEJI SNURA 
MTUNZI:  HUMBPHREY ENO MTWEVE
NAMBA:  0786549966

 
"aah hapana mimi sijasema hivyo kwani hata maongezi yenu sikuyasikia na hata pale alipoitwa miminilimuona tuu anavyoondoka"
SONGA NAYO
       Familia yetu ni familia ambayo imebarikiwa kuwa na uwezo wa kumiliki na kuendesha mali na kampuni mbalimbali siku moja ilikuwa hivi 
"Goornmorning guys" Baba alitusalimia baada yab kuamka
"morning, how are you father ?" nilimjibu mimi tukiwa na dada angu mdogo kwaangu
"What are doing?" alituuliza
"just chilling we are waitnig for the breackfast"
"oooh no no no"
"What ? " nilimuuliza kwa hamasa ya kujua kwa nini anakataa
"today i have suprise for you all"
"What iz that father?" aliuliza mdogo wangu 
"just wait and see, am sure you will like it" aliongea baba na kutoka nje
"Grace" alimuita grace baada ya kurudi ndani
"yes dady"
"I have planned to go out to day, so make sure you have to be verry smart" alituambia baba baada ya kurudi ndani
"why dont you tell brother to be smart?" aliuliza grace
"Man are always that deaer" nilidakia nikimcheka grace
"That iz an answer for your question" alinisaidia baba
"Hahahah!! damn it" alijibu grace akinifyonya na kuondoka zake
"Oooh ok ok fanyen haraka bas ili tuende na muda" alitusisitizia baba
"Duh baba kiboko hadi week end tunaenda na muda?" nilimuuliza baba kwa kiutani
"Ndo inabidi niwazoeshe hivyo manake siku hiz muda ndo kila kitu wanangu"
"baba anajua nini huyo??" alisema grace na kupita zake alikuwa anatoka nje

Baada ya hapo baba akaingia ndani kwaajili ya kwenda kujiandaa kama alivyotuagiza na mimi pia nikaingia chumbani kwangu na baada ya hapo nilielekea bafuni na wote tukawa kila mtu na sehemu yake  kwa ajili ya kujiandaa, na baada ya kama dakika kumi na tano hivi mimi na grace tulikuwa tayari tuko nje tuna msubiri baba.

"Sasa ray wewe si leo utaendesha hili hapa" aliniambia grace huku akilionesha gari moja lililopo karibu na yeye
"We subutuu yako, mimi leo sigus gari yoyote"
"Kwanini sasa ?"
"bas tuu sijisikii kuendesha gari, hapa cha msingi ni kumkomalia baba atuendesha manake hajawahi kabsa hata siku moja" nilimshawishi grace baada ya kumuona baba akitoka ndani
"ila kweli eti ?"
"Halafu nje ya hivyo leo niko na mastress kibao yananizingua hapa"
"Vipi mawifi wamekuzingua nini"
"Hamna wewe, mimi mawofo zako huwaga hanizingui labda mimi kuwazingua wao"
"Muone kwanza gukichwa gwake kulivyo gubaya, wewe unaona raha tuu kuwazingua mbaya"
"Sasa je kwani sio vizuri"
"Ngoja na mimi wanizingue kama utasikia raha"
"Sasa wewe wakikuzingua manake ni ujinga wako, wewe utakubalije wakuzingue mumy"
"nyie panyaaaaa!!!" tulisikia sauti ya baba akituita
"We are all yeah haajbudji" nilimjibu baba
"haaaaa! huyu nae tokea aende kolea basi ni shida tuu, mwishowe utatutukana wenzako, muone kwanza" alinifokea Grace
"hahahahah!!! hivi mimi mwenyewe nilijua kanitukana bas hapa nilikuwa najiandaa kumpa yake makofi" alisema baba
"hahaha! that is whats up dady"
"kwa hiyo mmepangaje wanangu, leo nani suka wa kutuendesha??" aliuliza baba huku akiendelea kuangalia gar ambalo lingefaa kwa siku hiyo kwenda nalo kuzurura
"it is you dady," tulijibu kwa pamoja kwani tulishalijadili hilo hivyo ikawa rahisi kwetu kumjibu kwa wakati na bila kupishana
"mmmh hili sio bure, lazima mmeteta" alisema baba huku akicheka 
"halafu hata sijui kwa nn mi tokea nipo ndani nililifikiria hilo ila nikasema kama baba ataniuliza lazima nimwambie kaka ray ndio dreva wetu leo lakini sijui imekuwaje had nikabadili mawazo" alisema grace
"also the same here, nilifikiri kwama tokea grace atuendeshe ni muda mrefu sana hivyo leo ningependa kama yeye ndio awe dreva wetu lakin ghafra tuu ulipotuuliza kuwa nani awe dreva wetu leo nimejikuta tuu nimekutaja wewe baba" na mimi nilimjibu baba ili mradi tuu tuonekane tuko na mawazo tofauti.

bas baba alikubali kwamba siku ya leo atakuwa dreva wetu wakati wa kwenda na wakati wa kurudi hivyo akachagua gari ambalo mara nyingi huwa analipenda akiwa katika safar zake za kawaida kwamba hilo ndo tutalitumia na kunipa funguo mimi kwamba ingefaa nilitoe nje hata kama sitahusika kwenye udreva katika safari nzima.

"we tatu!" baba alimuita mfanyakazi wetu wa ndani
"bee" ilisikika sauti ya tatu ikitokea ndani
"njoo mara moja"
"abee baba" aliitika tatu baada ya kumkaribia baba

itaendelea....

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post