Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Ticker

6/recent/ticker-posts

Vanessa Mdee kwenye list ya wanaowania tuzo hii kubwa

humph the GREAT
Mrembo na msanii  VeeMoney ambaye anaiwakikisha  vizuri Tanzania katika anga za mziki kimataifa, kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost picha zinazoonyesha kuchaguliwa kuwania tuzo za MTV Mama Awards kipengele cha Best Female ama msanii bora wa kike Afrika.
Vee alipost na  kuishukuru MTVAfrica  kwa nafasi hiyo ya kipee  ya kuwa kati ya wasanii watano bora barani  Afrika. Pia aliandika katika caption namna ambavyo mashabiki wake wanavyoweza kumpigia kura katika tuzo hizo.



 vee-money            
KAMA ULIMISS UFAFANUZI WA VANESSA MDEE KUHUSU UHUSIANO WAKE NA TREY SONGS>>>

Post a Comment

0 Comments