Mitindo ya Kijanja kwa Wanaopenda Dread

humph the GREAT
https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/03/d3-1024x576.jpg

TUNAPOZUNGUMZIA mitindo na fasheni, tunawagusa wanaume na wanawake. Hivyo basi wiki hii kupitia ukurasa huu tutaangalia jinsi nywele za dread zinavyowapendeza wanaume kwa staili mbalimbali za kijanja.

https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/03/d2.jpg

Kama wewe ni mfuatiliaji wa maisha ya mastaa utakuwa umeona wasanii wengi wakiwa wametengeneza vi-dread f’lani amaizing kiasi cha kuigwa na watu wengine wa kawaida.

https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/03/d5.jpg


Wasanii ambao wamekuwa wakionekana wa tofauti na wenye mvuto kutokana na staili hiyo mpya ni pamoja na Diamond, Nahreel, Quick Rocka na wengineo kibao.

Kuwa na dread hizi wala siyo kazi, unaweza kuzitengeneza kwa nywele zako baada ya kuwa kubwa lakini unaweza kuwa na nywele fupi, ukachukua dread za mtu mwingine, ukaunga na zako na wala watu wasigundue.

https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/03/d1-1024x640.jpg

Hawa niliokuletea hapa ni vijana wanaokwenda na wakati kwa fasheni hii, huenda na wewe msomaji unaweza kugandamizia na ukaonekana unayekwenda na wakati.

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post