humph the GREAT
Aliyekuwa waziri wa nishati na madini prof. Muhongo ameteta rekodi yake
ya utendaji kazi na uwaminifu kwa taifa kuwa uko wazi nawala si
wakutilia shaka.
Amesema kuwa pia kujiuzuru kwake si kwa lengo jingine Bali kutoa nafasi
ili watu wapate nafasi ya kujua nini kinachoendelea juu yake.
" Watu wanasema Mimi Nina kiburi, lkn kinachofanya hivyo ni elimu yangu
ambayo imenipa Tania ya kusema ukweli. Nikisema hiki ni kijiko na wala
si koleo huwa namaanisha hivyo"
Pamoja na hayo ameandika kuwa Tanzania si kisiwa hivyo ijiandae kwa
matatizo makubwa yatakayofwatia kutokana na makosa yetu tunayoyatenda na
tunayoendelea kuyatenda hadi sasa na kuipata shubiri Kali itakayo
fwatia kutoka kwa wawekezaji.
Tags
HABARI