DIAMOND Awatolea Mapovu Wanaomsakama Zari Kuhusu Msimba wa Mama yake...Awaita Chupi Kunuka...!!

humph the GREAT
  

By diamondplatnumz - Kuna vichupi kunuka wanajifanya wanajua sana uchungu wa Misiba ya watu.... Mtoto wa watu katoka katika matatizo mfululizo, anatakiwa apelekwe sehem tulivu apetiwepetiwe apate faraja!...sasa kama nyie hamna mabwana wa kuwafanyia hayo, Msijifanye ni Tamaduni na kulazimisha kila mtu awe kama nyie, eti kutwa nzima ajifungie chumbani kulia... Pambaneni na Mahusiano yenu...! Nina siku 5 za kumpetipeti... leo ndio kwanza Ya kwanza

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post