humph the GREAT
Mwimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz, Mameneja wake Said Fella na Babu Tale ni miongoni mwa mastaa wa Bongo waliofika nyumbani kwa Waziri wa Habari Dr. Mwakyembe kutoa pole kufuatia kifo cha Mke wake Linah George.

Tags
HABARI