humph the GREAT
Dk ya 90+4: Kipa wa Kagera anauwahi mpira an kuudaka, kidogo Okwi aipatie Simba bao.
Dk ya 90+4: Muda wowote mchezo utamalizika.
Dk ya 90: Sasa ni muda wa dakika za nyongeza.
Dk ya 89: Kagera wanafika langoni mwa Simba lakini inakuwa offside.
Dk ya 87: Simba wanapambana kutafuta bao la tatu.
Dk ya 86: Simba wanajiandaa kumuingiza Laudit Mavugo.
Dk ya 82: Mchezo umechangamka.
Pasi nzuri ya Kapombe inatua kwenye mwili wa John Bocco ambaye anatupia wavuni. Simba mbili.

Dk ya 79: GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Dk ya 78: Kichuya anamiliki mpira eneo la katikati ya uwanja.
Dk ya 78: Kichuya anamiliki mpira eneo la katikati ya uwanja.
Dk ya 75: Kasi ya mchezo imeongezeka.
Dk ya 71: Simba wanafanya mabadiliko, anatoka Gyan anaiongia Shomari Kapombe
Dk ya 71: Simba wanafanya mabadiliko, anatoka Gyan anaiongia Shomari Kapombe
Dk ya 69: GOOOOOOOOO…. Ndemla anaiandikia Simba bao la kuongoza baada ya kuachia shuti kali ambalo Kaseja amelitazama bila hata kujishughulisha kul;ifuata,
Dk ya 63: Asante Kwasi anajaza krosi lakini wanakataa Kagera hapa.
Dk ya 62: Kagera wanafanya mabadiliko, Edward Christopher anaingia kuchukua nafasi ya Pastory Atahanas.
Dk ya 59: Kagera hawataki kufungwa wala Simba hataki kufungwa, mchezo umenoga sasa.
Dk ya 58: kichuya anaondoka lakini inakuwa offside.
Dk ya 53: Juuko anapigwa kadi ya njano kwa kucheza madhambi.
Dk ya 51: Tayari Simba wanacheza kona lakini mipango yao inaharibika wananyang’anywa.
Dk ya 50: Simba wanaingia langoni mwa Kagera Sugar lakini kazi nzuri ya Juma Nyoso anaokoa na kuwa kona.
Dk ya 48: Timu zote zinaonekana kushambuliana zamu kwa zamu na mpira unaonekana kuongeza kasi.
Dk ya 45: Mpira umeanza tena kukamilisha hii lala salama ya kipindi chha pili.
MAPUMZIKO
Dk ya 45: Zinaongezwa dakika mbili za nyongeza.
Dk ya 44: Kasi ya mchezo imepungua.
Dk ya 40: John Bocco wa Simba anapata kadi ya njano.
Dk ya 39: Simba wanashambulia, Okwi anahusika lakini kipa Juma Kaseja anafanya kazi nzuri.
Dk ya 38: Kagera wanashambulia lwango la Simba.
Dk ya 35: Okwi anapiga faulo inatoka nje.
Dk ya 34: Kadi ya njano kwa Mohamed Fakh wa Kagera Sugar.
Dk ya 31: Asante Kwasi anatoa mpira inakuwa kona kwa Kagera.
Dk ya 26: Ndemla anapiga pasi lakini inanaswa.
Dk ya 25: Simba wanafanya shambulizi kali lakini Kagera wanakuwa makini.
Dk ya 20: Kagera wanaanza kushambulia kwa kasi lakini Simba wapo makini.
Dk ya 18: Faulo inapingwa nje ya boksi la Kagera Sugar, mpira unaokolewa.
Dk ya 15: Simba wanapata kona.
Dk ya 10: Hakuna mashambulizi makali.
Dk ya 8: Juma Nyosso wa Kagera Sugar anapewa kadi ya njano kwa kumzonga mwamuzi.

Dk ya 6: Wachezaji wa Kagera wanamzonga mwamuzi.
Dk ya 4: Timu zote zimeanza kwa kasi ya kawaida.
Dk ya kwanza: mchezo umeanza.
Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera.
Tags
Michezo na burudani