humph the GREAT
Dk 1, mechi imeanza na Simba wanakuwa wa kwanza kufika katika lango la Mwadui FC, wako makini
Dk 3, Mwadui FC nao wanafika katika lango la Simba lakini mpira mrefu wa Luhende unakosa mwenyewe.
Dk 5, Simba wanaingia vizuri, pasi nzuri ya Ndemla lakini mpira unampita, MWadui FC wanaokoa.
Dk 7 sasa, bado mpira haujachangamka sana na inaonekana MWadui wanacheza zaidi upande wa lango lao.
GOOOOOOO Dk 9, Bocco anauwahi mpira na kupiga kichwa safi, anaandika bao la kwanza.
Dk 11 Kapombe anaingia vizuri, anaachia mkwaju mkali kabisa, kipa anafanya kazi ya ziada anapangua na kuwa kona.
Dk 12, inachongwa kona hapa, Luhenda anaondosha vizuri kabisa.
Dk 14, Okwi anamtoka Mobi lakini anatoa inakuwa kona, inachongwa, inaokolewa.
Dk 15, Kichuya anaachia mkwaju wa kuzungusha, kipa Masawa anadaka vizuri kabisa.
Dk 17, Zimbwe anaingia vizuri pembeni, anaachia krosi lakini kipa Massawe anawahi na kudaka.
Dk 18, Okwi akitokea kidogo anaachia krosi lakini beki Mwadui anatoa na kuwa kona.
Dk 19, Kichuya anapiga kona fupi kwa Kapombe lakini Luhende anawahi na kuondosha.
Dk 20, kipa Massawe anafanya kazi nyingine ya ziada kupangua shuti la Ndemla na kuwa kona.
Dk 21, mpira safi wa kona wa Ndemla, Kotei anauwahi lakini Mobi anaondosha vizuri kabisa.
Dk 26, Mwadui FC wanaonekana kuwa na haraka maana wanapoteza pasi nyingi sana.
KADI Dk 27, Zimbwe analambwa kadi ya njano kwa kupoteza muda.

SUB Dk 29 Mavugo anaingia kuchukua nafasi ya Bocco aliyeumia
Dk 31, mpira wa juu kwenye lango la Simba, anaruka juu Manula, goal kick
Dk 32 Zimbwe anatoa boko, Miraji yeye na kipa Manula, anaokoa
Dk 36 Okwi anageuka vizuri, anapiga chenga na kuachia mkwaju maridadi, lakini anaokoa vziuri kabisa
Dk 38 Simba wanapata kona nyingine, inachingwa vizuri kabisa lakini goal kick
Dk 41, nje ya 18, Awadhi Juma anaachia mkwaju mkali kabisa, unapita juu kidogo ya lango la Simba
Dk 43, mwamuzi amesimamisha mpira ili wapate mapumziko mafupi ya maji
Dk 45, Kichuya anaachia mkwaju mkali kabisa, kipa anadaka
DAKIKA 3 ZA NYONGEZA
MAPUMZIKO
Dk 45 mpira umeanza kwa kasi, MWadui wanaonekana wanataka kupata bao la kusawazisha
Dk 47, Mwadui wanaonekana wameanza vizuri wakiongozwa na Awesu wametawala eneo la katikati ya uwanja
Dk 50 Mwadui FC wanaendelea kushambulia kwa kasi, wanapata kona, inachongwa na Awesu, ilikuwa hatari, lakini Juuko anaokoa unakuwa kurushwa
Dk 54, MWadui FC wanaonekana kuizidi Simba katika eneo la katikati ya uwanja
Dk 58, MWadui FC wanapata faulo nje kidogo ya 18 ya Simba, ni sehemu mbaya hii
GOOOOOOOOO Dk 59 Luhende anafunga bao safi kabisa kwa mkwaju wa adhabu
KADI Dk 61, Juuko analambwa kadi ya njano kwa kumuangusha Sheva au Miraji
KADI Dk 63 Kipa Massawe, analambwa kadi ya njano baada ya kuda nje ya 18
SUB Dk 64 Nicholas Gyan anaingia kuchukua nafasi ya Ndemla
Dk 64, Massawe anafanya kazi ya ziada na kuokoa, inakuwa ni kona
Dk 65, piganikupige kwenye lango la Mwadui lakini Mobi anaondosha
PENAAAAAT Dk 67, Mgeveke anamuangusha Okwi ndani ya 18, wote wawili wako chini
KADI DK 70 Mgeveke anainuka na kulambwa kadi ya njano
GOOOOOOOOOOOO Dk 71, kwa mkwaju wa penalti Okwi anaandika bao la pili la Simba, bao la kwaza kwake la mkoani
Dk 73 Awesu anaingia vizuri katika eneo la 18 lakini anajiangusha na mwamuzia namuambia acha ujanja
KADI Dk 75, Awesu analambwa kadi ya njano kwa kujiangusha
Dk 77, kipa anapangua shuti la Mavugo ilikuwa karibu kabisa
Dk 80 shuti jingine kali karibu na lango la Simba, goal kick
Dk 83: Simba wanapaswa kuwa makini kwa kuwa MWadui wanaonekana wako kwenye shepu ya kusawazisha
Dk 84: Kichuya anaachia mkwaju wa adhabu lakini Massawe anazidi kuonyesha yuko vizuri
Dk SUB Dk 87: Simba wanamtoa Mavugo aliyeingia na nafasi yake inachukuliwa na Bukaba kuongeza ulinzi.
GOOOOOOOOOOO Dk 89: Nonga anaunganisha vizuri mpira wa faulo na kumshinda Manula.
KADI Dk 90: Mobi analambwa kadi ya njano.
DAKIKA 5 ZA NYONGEZA
-Krosi ya Kichuya, mpira unaokowa na kuwa kona, inachongwa, haina manufaa
-KADI: Sangija analambwa kadi ya njano kwa kuzuia mpira haujapigwa.
MPIRA UMEKWISHAAAAAAA
Tags
Michezo na burudani