Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Ticker

6/recent/ticker-posts

Lupita awaboa nduguze kenya

humph the GREAT

Lupita Nyongo Awaboa Ndugu zake Wakenya Uzinduzi wa Black Panther Kenya

STAA kutoka Hollywood mwenye asili ya Kenya, Lupita Nyongo hivi karibuni amejikuta akiwaboa ndugu zake Wakenya baada ya kushindwa kuhudhuria uzinduzi wa Filamu ya Black Panther uliofanyika nchini hapo Jumanne iliyopita.

Mashabiki wa mwanadada huyo kutoka Kenya, walianza kuonesha kutofurahishwa na suala hilo baada ya Lupita

 Kuonekana kwenye uzinduzi wa filamu hiyo Afrika Kusini huku akiwa amekacha uzinduzi wa filamu hiyohiyo nchini Kenya.

Hata hivyo, pamoja na lawama na madongo ambayo mwanadada huyo ametupiwa na mashabiki wake juu ya kuwasusa ‘nduguze’, hakujibu lolote wala kueleza ni kwa nini alikosekana kwenye uzinduzi wa Black Panther Kenya. 

Post a Comment

0 Comments