Elibariki: kutekwa ni jambo la kawaida

humph the GREAT
Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu amefafanua kuhusu kauli iliyosambaa mtandaoni ikidai kuwa amesema watu kutekwa na kuuawa ni jambo la kawaida na kushauri bunge kutounda tume kuchunguza kwani itazua taharuki na Serikali haijashindwa kusimamia usalama wa nchi.

“Sijasema kutekwa kwa watu ni matukio ya kawaida, mimi nimesema matukio ya kihalifu yapo Duniani kote, tusilipake taifa matope ili lionekane limekuwa katika hali tete, hatuwezi kuanza kwenda kujadili hali ya usalama kwa matukio haya,” 
Kutekwa si jambo la kawaida 

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post