humph the GREAT
Serikali kupitia balaza la Michezo la Taifa(BMT) imritaka
Yanga kufanya uchaguzi lakini kwa masharti maalumu
Kwa wote watakaohusika katika kupiga kura...
Serikali kupitia balaza la Michezo la Taifa(BMT) imritaka
Yanga kufanya uchaguzi lakini kwa masharti maalumu
Kwa wote watakaohusika katika kupiga kura...
Wakati yanga inajiandaa kufanya uchaguzi mkuu mwezi ujao serikali kupitia katibu mkuu wa Baraza la Michezo la Taifa, Mohammed kiranja imekuja na kuitaka Yanga, kuwa watu au wanachama wa yanga ambao wana kadi za uana chama ambazo pia ni kadi za benki hawata ruhusiwa kufanya uchaguzi huo..
"Wanachama watakaopiga kula ni wale tuu wenye kadi za kitabu ambazo kimsingi zinasainiwa na mwenyekiti mkuu wa klabu"
"Hivi sasa Yanga haina mwenyekiti kwa hiyo wanachama ambao watakuwa na kadi ambazo hazijasainiwa na mwenyekiti kuto kupiga kura"
Serikali pia imesema sio kama haiwakubali wanachama ila imesisitiza tuu kufuata utaratibu ambao kula klabu itakuwa inafuata kuanzia sasa na kuendelea, Mbali na hivyo kiranja amedai kupokea malalamiko mengi kutoka kwa baadhi ya mashabiki ambao aliilalamikia serikali kuwa uchaguzi uliopita haukufuata utaratibu wa kikatiba.
Katibu mkuu wa TFF bwn. Kirau amekili kupokea Barua hiyo na kumpelekea katibu mkuu wa yanga, Bean Charles Boniface na kudai watalifanyia ufafanuzi na uchunguzi suala hilo.
Tags
Burudani na michezo
