kama hujapata ratiba ya EPL leo ni hii hapa, weka mkeka ushindi nje-nje



 Jumatatu hii mashabiki wa soka wanatarajia burudani ya hali ya juu kutoka viwanja mbalimbali vya EPL, La Liga na Serie A. Mechi nne zimepangwa kuchezwa, kila moja ikiwa na uzito wake kwa msimamo wa ligi na morali ya timu husika. Meridianbet nayo inatoa fursa kwa mashabiki kubashiri kwa maarifa na ushindi wa kishindo.


Katika Ligi Kuu ya England, Everton wanawakaribisha West Ham United kwenye dimba la Goodison Park. West Ham wanahitaji ushindi ili kujinasua kutoka nafasi za chini, huku Everton wakiitaji kuitumia faida ya uwanja wa nyumbani kutafuta ushindi wa tatu kwenye ligi. Mchezo huu unatarajiwa kuwa wa kasi, huku wachezaji kama Aaron Wan-Bissaka na Jarrad Branthwaite wakikosekana kwenye mchezo huu. Kwa mashabiki wa kubashiri, mechi hii usikubali ikupite.


La Liga nayo haijabaki nyuma, Valencia watakuwa nyumbani Mestalla wakipambana na Real Oviedo. Real Oviedo, waliopanda daraja msimu huu, wanakutana na Valencia walioko katika harakati za kurejesha heshima yao ya kihistoria. Mechi hii ni fursa kwa vijana wa Oviedo kuonyesha uwezo wao dhidi ya wapinzani wa daraja la juu. Kwa wabashiri,Meridianbet inakupa machaguo mengi kwenye mchezo huu.
Vilevile, kuna michezo mingine ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds kabambe. Kujiunga ni rahisi mno, tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#


Kwingineko, Serie A ya Italia inatupa mechi mbili za kuvutia. Kwanza, Parma watachuana na Torino kwenye uwanja wa Stadio Ennio TardiniTorino wanahitaji pointi tatu ili kujiimarisha katikati ya msimamo wa ligi, lakini Parma wanakuja na kiwango kibovu wakiwa hawajapata ushindi kwenye michezo yote minne ya ligi waliyocheza.


Baadaye saa 21:45, Genoa watakuwa nyumbani wakipambana na Lazio kwenye dimba la Luigi Ferraris. Wakiwa na tofauti ya alama moja kwenye msimamo tutegemee kuona Lazio wanapambana kuendelea kukaa juu ya Genoa lakini vijana wa Patrick Vieira wanapambana kutafuta ushindi wa kwanza tangu kurejea kwa ligi.


Kwa wabashiri wanaotumia Meridianbet, Jumatatu hii ni zaidi ya burudani, ni fursa ya ushindi. Odds ni moto kama mechi zenyewe. Tembelea Meridianbet.co.tz au tumia Meridian App kusuka jamvi lako kwa ujasiri.

CHANZO; gpublishers

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post