Nisha akiwa amebeba mzigo wa mchele, pembeni ni gari likiwa na mizigo mingine.
Akiwa anagawanya kwa familia hizo.…
Nisha akiwa amebeba mzigo wa mchele, pembeni ni gari likiwa na mizigo mingine.
Akiwa anagawanya kwa familia hizo.
Nisha, wadogo zake wakiwa kwenye picha ya pamoja na mmoja wa watoto waliopata msaada.
Hapa akiwa anawasha moto.
Nisha akiwa anapanda kwenye mkokoteni unaokokotwa na ng’ombe.
Akiwa kwenye picha ya pamoja na waliofaidika na msaada wake.
Nisha alitoa misaada mbalimbali vikiwemo vinywaji, unga, mafuta, sukari na mchele katika kijiji cha Donge Zanzibar akiwa ameambatana na wadogo zake pamoja na baadhi ya watu wa timu yake ya Team Nisha
Tags
Bongo movie