AFANDE SELE= RADIO MPYA IMEKUJA KUWAKOMBOA WANYONGE, ATOA UWITO KWA WASANII KUTUMIA FULSA HIYO KUFANYA KWELI..




Msanii mkongwe kwenye tasnia ya muziki wa kizazi kipya ameibuka na kusema kuwa ujio waradio mpya 93.7 Fm imekuja kuwakomboa wanyonge waliokuwa wametelekezwa kwa kuksa msaada.
Akiongea na Xdeejayz kwa njia ya simu mwanamuziki huyo ambae yuko Dar kwa sasa akiandaa kazi zake mpya alisema" Kaka naweza kusema ni kama baraka za Mungu tu kuanzishwa kwa radio hiyo wanyonge wamepata mkombozi kwani vijana wengi walishaanza kufanyakazi kwa sababu ya wanyonyaji wa kazi zao hivyo tunaamini 93.7 Fm ndiyo suluhisho letu wanamuziki" Alisema Afande Sele.

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post