Kesi ya Chris Brown inaanza kuwatia wasiwasi mashabiki wake kuwa huenda hali ikawa mbaya kwa muimbaji huyo baada ya mlinzi (bodyguard) wake kukutwa na hatia katika kesi iliyomkabili ya kumshambulia mtu akiwa na Chris Brown.Jaji Patricia Wynn ambaye anaendesha kesi ya mlinzi huyo na ya Chris Brown amesema mlinzi huyo amekutwa na hatia kutokana na ushahidi uliotolewa na dereva.Dereva huyo