-Hawa ni sungusungu kutoka kata ya Masengwa wilaya ya Shinyanga siyo wa GeitaAskari wa jadi maarufu kama sungusungu wa mtaa wa Mwatulole kata ya Kalangalala mjini Geita wanadaiwa kumdhalilisha na kumfanyia ukatili mwanamke mmoja kwa kumkamata na kumcharaza viboko kwa tuhuma za kuvaa nguo fupi (kimini).Inadaiwa kuwa walichukua uamuzi huo baada ya kamanda wao kuwaamuru na kutangaza
Tags
Udaku