
Nipo nchini nigeria kwa shughuli ya kimusiki, ikiwemo kukamilisha collabo na baadhi ya wasanii wenzangu kutoka nchini huku, Lakini pia kushoot video ya wimbo wangu mpya. Mapema leo nimefanyiwa mahojiano na vituo vikubwa vya Radio nchini hapa ikiwemo BEAT FM. Alisema diamond.....







Tags
Diamond plutnum