Waziri mwakyembe azidi kuwapa ugumu wasanii

humph the GREAT
chanzo; millard ayo
 
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr Harrison Mwakyembe alisimama Bungeni kujibu swali la Mbunge wa viti maalum CCM Catheline Magege aliyehoji sababu za Serikali kufungia nyimbo za wasanii baada ya kuziachia na kushindwa kuzuia tatizo hilo kabla.

Waziri Mwakyembe amesema…>>>“Kama Serikali hatuna shida na wasanii wetu, lengo letu ni kulinda maadili, kila taifa lina maadili yake na ndio maana hata wakina Rick Ross na  Wizkid wanafungiwa kazi zao, sisi tunalalamika kufungiwa kwa nyimbo mbili? Tutaendelea kuwafungia ili kulinda utamaduni wetu

waziri mwakyembe awapa ugumu wasanii 

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post