Idriss: mwanamke akielimika wanaume tutapata shida

humph the GREAT
 
 
Leo April 7,2018 zimefanyika tuzo za Malkia wa Nguvu 2018 JNICC na wanawake mbalimbali wamebahatika kupata tuzo hizo za heshima na kutambulika kama Malkia wa Nguvu Tanzania kutokana na biashara mbalimbali wanazozifanya.
Hiki ndicho alichokiongea Idris Sultan katika tuzo za Malkia wa nguvu 2018.
mwanamke akielemika wanaume tutapata shida idriss 

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post