MZEE KINGUNGE: SI SAHIHI KUMSHAMBULIA JAJI WARIOBA!


MWANASIASA Mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru amesema si sawa kumshambulia Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba wakati akichangia katika Majadiliano ya Bunge zima kwa sura ya kwanza na sita ya Bunge Maalum la Katiba hivi punde!

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post