TMK WANAUME FAMILY, WEUSI WALIVYOFUNIKA SIKUKUU YA PASAKA DAR LIVE
habayloveHabay all info-
0
Wasanii kutoka Makundi ya TMK Wanaume Family na wale wa Weusi walifanya kweli kwa kushusha bonge la shoo katika Sikukuu ya Pasaka ndani ya Ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala, Zakhem jijini Dar es Salaam!