.
| First Lady wa Mkong'oto JAZZ Band Nae alikuwepo kuhakikisha ushindi.... |
| ''Hivi huyu bwana mdogo atamuweza kweli Nay wetu....??'' Ommy wa Mkong'oto akiulizwa na First Lady.....!!! |
| Ebwana eeeeh Dogo kafika na Jeshi lake uko Nje........'' |
| Nay akiongea na simu ''Njooeni Backstage Nyie mchele mchele nawasubiri....! |
| Nikiwajuza mashabiki zangu kupitia social network jinsi navyoenda kumgaragaza mtoto wa manzese.... |
| Nay akaanza kwa manjonjo kukiwasha Jukwaani.... |
| Watuuu weeewee wakijibu kwa shangweeee...... |
| Mi ni maji usipokunywa basi utanioga....... |
| Nay akishow love kwa mashabiki zake kwa kuwapa mkono... |
| Nay akiwauliza mashabiki zake''Huyu mbana pua akija ataimili mziki huu....?? |
| Mizuka ikiwa imempanda sasa...... |
| Mbagala mmenielewa....au mtanielewa baadaeeee..... |
| Backstage nikikoki silaha zangu hatari kwenda kufunika huu muziki wa Hip Hop kabisa |
| Haya sasa Mule Mule......! |
| Mbagala mmeniskia.......tatizo kwetu mbagala na leo nimerudi kwenu.... |
| Nikisalimu mashabiki kwa kushow love kwangu.....t was crayyzz baby..... mizuka ya kimanyema ikapanda sasa... |
| Eti Nani Amenuna........?? Nani amenuna.....?? |
![]() |
| akicheza tu namuharibia hapa hapa kwetu huyu mbagala...... |
| Hapo sasa.......Mtu mbili kati.....amuheni wenyewe.........!! |
| BONGO FLEVA & HIP HOP..... |
| NANI MSHINDI?? EBU SEMA WEWE...... |
| Baada ya show Diamond & Nay wakishukuru Mashabiki na kuwapa zawadi ya Video ya Muziki Gani....!! |
| Emma Platnum,Hamish Donovan the masteminder Behind This Is Diamond &Rama Mpauka... Baada ya show kumalizika..... |
| From Left My Blood Sister Esma Khan,Siwema Shem Lake Na Nay wa Mitego.... |
| Dumi Utamu,QBoy Mnyama & Rama Mpauka....... we The Best Ever....... |
| Nay wa Mitego,Siwema and Diamond Platnumz.... |
| MAHABATI..... |
| Crew nzima ya Mkong'oto Jazz Band..... |
Tags
Music
