SIWEZI KUMVULIA NGUO NA KULIWA URODA NA MWANAUME ALIYETEMBEA NA LULU MICHAEL" DIANA KIMARIO



 LULU NA DIANA

Msanii wa bongo movie Diana Kimaria ameibuka na kukanusha vikali kuwa kamwe hawezi kuliwa uloda na mwanaume aliyempitia rafiki yake Lulu Michael kwa sababu kwani wao ni zaidi ya rafiki.
Akizungumza na gazeti namba moja nchi kwa habari zaa uchunguzi la Maskani Bongo  baada ya kutokea taarifa kuwa amekuwa akiiba wanaume za rafiki zake akiweo huyo Lulu, Diana alisema" Katu siwezi kufanya hivyo hivyo mwanaume yeyote anaemla uloda LULU mimi ni shemji yangu hivyo siwezi fanya upuuzi huo" Alisema Diana ambae amewahi kuishi kinyumba na msanii fuska Manaiki Sanga zaidi ya nusu mwaka huku Mama yake na Diana akitoa baraka za wawili hao kuoana kabisa.
CREDIT: MASKANI BONGO

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post