Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi kisima katika Shule ya sekondari Kinambeu iliyopo Singida. Kulia ni Mratibu wa mradi huo kutoka taasisi isiyo ya kiserikali ya Nkwamira, Noreen Mazalla.


Mkuuwa Wilaya ya Iramba, Yahya Nawanda akizungumza katika hafla ya kukabidhi visima vilivyotolewa na benki ya CRDB…
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi kisima katika Shule ya sekondari Kinambeu iliyopo Singida. Kulia ni Mratibu wa mradi huo kutoka taasisi isiyo ya kiserikali ya Nkwamira, Noreen Mazalla.


Mkuuwa Wilaya ya Iramba, Yahya Nawanda akizungumza katika hafla ya kukabidhi visima vilivyotolewa na benki ya CRDB mkoani Singida.


MkurugenziMtendaji wa Taasisi Isiyo ya Kiserikali ya Nkwamira, ambaye pia ni mratibu wa mradi huo,Noreen Mazalla akizungumza wakati wa hafla hiyo kukabidhi kisima katika Shule ya Sekondari Kinambeu mkoni Singida.

Kisima kilichochimbwa na benki ya CRDB kwa ajili ya Shule ya Sekondari Kinambeu.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (katikati) akizindua Kisima cha maji katika Shule ya Sekondari Kinambeu, wilaya ya Iramba Mkoani Singida, mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Yahya Nawanda na Kulia ni Mratibu wa mradi huo kutoka taasisi isiyo ya kiserikali ya Nkwamira, Noreen Mazalla.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (katikati) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Yahya Nawanda na Kushoto na kulia ni Mratibu wa mradi huo kutoka taasisi isiyo ya kiserikali ya Nkwamira, Noreen Mazalla.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. CharlesKimei (kushoto), akizindua kisima cha maji katika Shule ya Sekondari Kinambeu iliyopo katika Wilaya ya Iramba Mkoani Singida.
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kinambeu wakiimba nyimbo wakati wa hafla ya kukabidhi kisima kilichochimbwa na Benki ya CRDB kwa ajili ya Shule hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Isiyo ya Kiserikali ya Nkwamilla ambaye pia
ni Mratibu wa mradi huo, Noreen Mazalla (kulia), akimshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB,Dk. Charles Kimei

ni Mratibu wa mradi huo, Noreen Mazalla (kulia), akimshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB,Dk. Charles Kimei
Wanafunziwa shule ya Sekondari Kinambeu wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya kisima walichokabidhiwa na Uongozi wa Benki ya CRDB. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei.
OfisaUhusiano Mwandamizi wa Benki ya CRDB, Willy Kamwela akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Isiyo ya Kiserikali ya Nkwamilla ambaye pia ni Mratibu wa mradi huo, Noreen Mazalla.

Wanafunzi wa Shuke ya Sekondari Kinambeu wakitumbuiza kwa nyimbo.
Tags
News