DIVA: KWANI MTU AKIWA MALAYA ANAJIUZA KUNA SHERIA YA KUMFUKUZA CHUO?!


hii kweli kali
 

Diva

Baada ya yule mwanafunzi wa chuo kujirekodi akisema shule imemshinda bora tu aolewe bure
na mwanaume lakini awe na pesa kupigwa chini CHUO (inasemekana lakini).....


  

Mwanadada Diva the Don, mtangazaji wa CLOUDS FM ameibuka na kushangazwa na kitendo cha mwanafunzi huyo kufukuzwa chuo....Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM, DIVA aliweka video clip ya mwanafunzi huyo na kuandika..

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post