Richard wa BBA, Prodyuza Episcopere Walivyotinga Global TV Online leo

humph the GREAT

Mshindi wa shindano la Big Brother Africa 2007, Richard Dyle Bezuidenhout leo ametembelea studio za Global TV Online zilizopo Mwenge, Bamaga jijini Dar na kufanya mahojiano katika kipindi cha Exclusive Interview.
Richard aliambatana na prodyuza Episcopere Emmanuel ambaye amesimamia filamu yake mpya iitwayo Mchumba Siyo Atm. Filamu hiyo mpya inatarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni. Usikose kuangalia Mahojiano hayo kesho jioni kupitia Youtube channel ya Global TV Online au www.globaltvtz.com

Mshindi wa Big Brother Africa 2007, Richard Bezuidenhout (kulia) akiwa na Prodyuza Episcopere Emmanuel  ndani ya studio za Global TV Online leo.




Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post