Mshindi wa Tuzo ya Msanii Bora wa Hiphop na Mtunzi Bora wa Hiphop mwaka 2013 na 2014, Fid Q amesema kuwa ameangalia udhaifu katika muziki wake na kugundua hana video kali na kusema kuwa mashabiki wake wasubirie video kali kutoka kwake ili kuondoa udhaifu huo.
kwa upande mwingine, Fid Q amesema kuwa amewainspire 95% Rappers wa Tanzania ndio maana anajiamini.
"katika hiphop kuna mambo mengi, kuna swala linaitwa industry impact, kazi zako zikoje tangu huyu na yule, akina Dot.com vitu vimeendelea, zimekuja Mwanza Mwanza, Bint Malkia, August 13mpaka leo tuko katika Siri ya Mchezo" Alisema Fid.
kwa kuongezea na kumalizia Mshindi wa Tuzo mbili la KTMA amesema kuwa suala jingine ni uwezo wa kubadilika Versatility kwenye nyimbo zake.

0 Comments