Hii ilikua New Maisha Club usiku wa Mei 16 lilikua ni shindano la kutafuta mashindano ya vipaji kwa miss wanaochuana kwenye kitongoji cha Dar Es Salaam mjini yaani Miss Dar City Centre shindano rasmi linategemewa kufanyika Mei 24 kwenye ukumbi wa Escape One Mikocheni.
Hizi ni baadhi ya picha za usiku huu wa Miss Talent Dar City Centre.
Tags
Michezo na burudani