Prof Jay Kufanya Kazi nyingine na Jose Chameleon



Mkali wa Muziki wa HipHop hapa Bongo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa Kipi Sijasiki Prof Jay na Mkali kutoka Uganda ambae anafanya vizuri kwa sasa na wimbo wa Tubonge Jese Chameleon, Baada ya kukuta wanafanya kazi nyingine ya pamoja na muda si mrefu utaisikia.

Ndani ya MWANALIZOMBE STUDIOS Usiku sana.. @Professor Jay Josechameleon @lamarfishcrab @producer villy. .... Shidaa mpya inakuja!!! STAY TUNED.alisema Jay kupitia Facebook Page yake
.


Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post