DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOTEMBELEA SAFARI RESTAURANT WASHINGTON DC

Kumbe hata wazungu wanamjua Diamond Platnumz ndani ya Safari Restaurant.
Diamond akiteta jambo na Msaidizi wa Balozi wa Tanzania nchini Marekani ndani ya Mgahawa wa Safari.
Samaki na ndizi za kukaanga ndani ya restaurant hiyo.
Mbuzi wa kukaanga.

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post