Bunge la jimbo la jiji la Nairobi nchini Kenya limepiga kura kuwaondoa makahaba katikati mwa mji mkuu.Waakilishi katika bunge hilo walilazimika kupiga kura mara tatu ili kufikia matokeo hayo. Kwa mara mbili matokeo ya kura yalikuwa sare, lakini baada ya awamu ya tatu kura ya ndio ikashinda.Hoja hiyo iliwasilishwa na mwakilishi Bi Jane Mwasia, ikitaka wakuu wa jimbo kuwaondoa makahaba mara moja
0 Comments