humphrey the GREAT]
Imelda Mtema, aliyekuwa Zanzibar
“Unajua
hii ndiyo safari yangu ya kwanza tangu nijifungue, kwa hiyo ni muda
muafaka, ngoja tufurahie maisha kidogo jamani,” alisema Aunt.
MAHABA nifilisi. Aunt Ezekiel Grayson
Gwantwa na mzazi mwenzake, Moses Iyobo ‘Mo’ wameonesha wazi kinachoitwa
mapenzi ni kikohozi baada ya kujiachia kimahaba hadharani wakiwa sanjari
na ‘mtoto wao’, Cookie jambo lililozua miguno mingi ya chinichini.
Moses Iyobo ‘Mo’ akimbeba mtoto wao Cookie
Wawili hao walinaswa hivi karibuni
visiwani Zanzibar, ambako kulikuwa na tamasha maalum la filamu (ZIFF),
ambapo Aunt alikuwa miongoni mwa waalikwa huku Iyobo ‘akivamia shamba la
bibi’ kwa kile alichodai ni kumpa kampani mwandani wake.
Tags
wcb